2 Kings 18:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hezekia alimtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli; hakuna aliyekuwa kama yeye kati ya wafalme wa Yuda waliomfuata au waliomtangulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hezekia aliweka tumaini lake kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli. Hapakuwa na mfalme mwingine wa kufanana naye miongoni mwa wafalme wa Yuda, kabla yake au baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alimtumaini Bwana, Mungu wa Israeli; hata baada yake hapakuwa na mfano wake katika wafalme wote wa Yuda, wala katika hao waliomtangulia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hezekia alimtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli; hakuna aliyekuwa kama yeye kati ya wafalme wa Yuda waliomfuata au waliomtangulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hezekia aliweka tumaini lake kwa BWANA, Mungu wa Israeli. Hapakuwepo na mfalme mwingine wa kufanana naye miongoni mwa wafalme wa Yuda, kabla yake au baada yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hezekia aliweka tumaini lake kwa bwana, Mungu wa Israeli. Hapakuwepo na mfalme mwingine wa kufanana naye miongoni mwa wafalme wa Yuda, kabla yake au baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alimtumaini BWANA, Mungu wa Israeli; hata baada yake hapakuwa na mfano wake katika wafalme wote wa Yuda, wala katika hao waliomtangulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hezekia alimtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli; hakuna aliyekuwa kama yeye kati ya wafalme wa Yuda waliomfuata au waliomtangulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwegemea Bwana Mungu wa Isiraeli; hakuwako mwingine aliyekuwa kama yeye, wala miongoni mwao wafalme waliomfuata, wala miongoni mwao waliomtangulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alimtumaini BWANA, Mungu wa Israeli; hata baada yake hapakuwa na mfano wake katika wafalme wote wa Yuda, wala katika hao waliomtangulia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hezekia alimutegemea Yawe, Mungu wa Israeli; hakuna aliyekuwa kama yeye kati ya wafalme wa Yuda waliomufuata au waliomutangulia.