2 Kings 18:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye hakumwasi Mwenyezi-Mungu wala hakuacha kumfuata, bali alishika amri za Mwenyezi-Mungu alizomwamuru Mose.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alishikamana na Mwenyezi Mungu kwa bidii wala hakuacha kumfuata; alishika amri ambazo Mwenyezi Mungu alikuwa amempa Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana alishikamana na Bwana, hakuacha kumfuata, bali alizishika amri zake Bwana alizomwamuru Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye hakumwasi Mwenyezi-Mungu wala hakuacha kumfuata, bali alishika amri za Mwenyezi-Mungu alizomwamuru Mose.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alishikamana na BWANA kwa bidii wala hakuacha kumfuata; alishika amri ambazo BWANA alikuwa amempa Mose.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alishikamana na bwana kwa bidii wala hakuacha kumfuata; alishika amri ambazo bwana alikuwa amempa Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana alishikamana na BWANA, hakuacha kumfuata, bali alizishika amri zake BWANA alizomwamuru Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye hakumwasi Mwenyezi-Mungu wala hakuacha kumfuata, bali alishika amri za Mwenyezi-Mungu alizomwamuru Mose.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akagandamana na Bwana, hakuacha kabisa kumfuata, akayaangalia maagizo yake Bwana, aliyomwagiza Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana alishikamana na BWANA, hakuacha kumfuata, bali alizishika amri zake BWANA alizomwamuru Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye hakumwasi Yawe wala hakuacha kumufuata, lakini alishika amri ambazo Yawe alimupa Musa.