2 Kings 18:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwapiga Wafilisti mpaka mji wa Gaza na nchi iliyouzunguka, kuanzia mnara wa walinzi mpaka mji wenye ngome.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuanzia mnara wa ulinzi hadi kwenye mji wenye ngome, aliwashinda Wafilisti, hadi kufikia Gaza na himaya yake yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawapiga Wafilisti mpaka Gaza na mipaka yake, tangu mnara wa walinzi hata mji wenye boma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwapiga Wafilisti mpaka mji wa Gaza na nchi iliyouzunguka, kuanzia mnara wa walinzi mpaka mji wenye ngome.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuanzia mnara wa ulinzi hadi kwenye mji wenye ngome, aliwashinda Wafilisti, hadi kufikia Gaza na himaya yake yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuanzia mnara wa ulinzi hadi kwenye mji wenye ngome, aliwashinda Wafilisti, hadi kufikia Gaza na himaya yake yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawapiga Wafilisti mpaka Gaza na mipaka yake, tangu mnara wa walinzi hata mji wenye boma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwapiga Wafilisti mpaka mji wa Gaza na nchi iliyouzunguka, kuanzia mnara wa walinzi mpaka mji wenye ngome.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao Wafilisti akawapiga, hata mji wa Gaza na mipaka yake kutoka kwenye mnara wa walinzi hata mjini mwenye boma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawapiga Wafilisti mpaka Gaza na mipaka yake, tangu mnara wa walinzi hata mji wenye boma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwapiga Wafilistini mpaka muji wa Gaza na inchi iliyouzunguka, kuanzia kwenye munara wa walinzi mpaka muji wenye kuta.