2 Kings 19:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwambieni Hezekia mfalme wa Yuda, ‘Usikubali Mungu wako unayemtegemea akudanganye kwa kukuahidi kwamba mji wa Yerusalemu hautatekwa na mfalme wa Ashuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwambieni Hezekia mfalme wa Yuda: Usikubali huyo Mungu unayemtumainia akudanganye wakati anaposema, ‘Yerusalemu haitatiwa mkononi mwa mfalme wa Ashuru.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwambieni Hezekia, mfalme wa Yuda, maneno haya, mkisema, Asikudanganye Mungu wako unayemtumaini, akisema, Yerusalemu hautatiwa katika mikono ya mfalme wa Ashuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwambieni Hezekia mfalme wa Yuda, ‘Usikubali Mungu wako unayemtegemea akudanganye kwa kukuahidi kwamba mji wa Yerusalemu hautatekwa na mfalme wa Ashuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwambieni Hezekia mfalme wa Yuda: Usiruhusu huyo Mungu unayemtumaini akudanganye wakati anaposema, ‘Yerusalemu haitatiwa mkononi mwa mfalme wa Ashuru.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwambieni Hezekia mfalme wa Yuda: Usikubali huyo Mungu unayemtumainia akudanganye wakati anaposema, ‘Yerusalemu haitatiwa mkononi mwa mfalme wa Ashuru.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwambieni Hezekia, mfalme wa Yuda, maneno haya, mkisema, Asikudanganye Mungu wako unayemtumaini, akisema, Yerusalemu hautatiwa katika mikono ya mfalme wa Ashuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwambieni Hezekia mfalme wa Yuda, ‘Usikubali Mungu wako unayemtegemea akudanganye kwa kukuahidi kwamba mji wa Yerusalemu hautatekwa na mfalme wa Ashuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo mtamwambia Hizikia, mfalme wa Wayuda, mkisema: Asikudanganye Mungu wako, wewe umwegemeaye kwamba: Yerusalemu hautatiwa mkononi mwa mfalme wa Asuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwambieni Hezekia, mfalme wa Yuda, maneno haya, mkisema, Asikudanganye Mungu wako unayemtumaini, akisema, Yerusalemu hautatiwa katika mikono ya mfalme wa Ashuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mumwambie Hezekia mufalme wa Yuda: ‘Usikubali Mungu wako unayemutegemea akudanganye kwa kukuahidi kwamba Yerusalema hautatekwa na mufalme wa Asuria.