2 Kings 19:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, ni kweli kwamba wafalme wa Ashuru wameangamiza mataifa na nchi zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ni kweli, Ee Mwenyezi Mungu, kwamba wafalme wa Ashuru wameyaangamiza mataifa haya na nchi zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni kweli, Bwana, wafalme wa Ashuru wamewaharibu mataifa na nchi zao,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, ni kweli kwamba wafalme wa Ashuru wameangamiza mataifa na nchi zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ni kweli, Ee BWANA, kwamba wafalme wa Ashuru wameyaangamiza mataifa haya na nchi zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ni kweli, Ee bwana, kwamba wafalme wa Ashuru wameyaangamiza mataifa haya na nchi zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni kweli, BWANA, wafalme wa Ashuru wamewaharibu mataifa na nchi zao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, ni kweli kwamba wafalme wa Ashuru wameangamiza mataifa na nchi zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni kweli, Bwana, wafalme wa Asuri wamewaangamiza wamizimu na nchi zao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni kweli, BWANA, wafalme wa Ashuru wamewaharibu mataifa na nchi zao,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, ni kweli kwamba wafalme wa Asuria wameangamiza mataifa na inchi zao.