2 Kings 19:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walitupa miungu yao motoni kwa sababu haikuwa miungu ya kweli, bali sanamu za miti na mawe zilizochongwa na mikono ya watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wameitupa miungu yao kwenye moto na kuiangamiza, kwa kuwa haikuwa miungu, bali miti na mawe tu iliyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kuitupa miungu yao motoni; kwa maana haikuwa miungu, bali ni kazi ya mikono ya wanadamu; ilikuwa miti na mawe tu, ndiyo sababu wakaiharibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walitupa miungu yao motoni kwa sababu haikuwa miungu ya kweli, bali sanamu za miti na mawe zilizochongwa na mikono ya watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wameitupa miungu yao kwenye moto na kuiangamiza, kwa kuwa haikuwa miungu bali ni miti na mawe tu, iliyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wameitupa miungu yao kwenye moto na kuiangamiza, kwa kuwa haikuwa miungu, bali miti na mawe tu iliyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kuitupa miungu yao motoni; kwa maana haikuwa miungu, bali ni kazi ya mikono ya wanadamu; ilikuwa miti na mawe tu, ndiyo sababu wakaiharibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walitupa miungu yao motoni kwa sababu haikuwa miungu ya kweli, bali sanamu za miti na mawe zilizochongwa na mikono ya watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakaitupa miungu yao motoni, kwani hiyo siyo miungu, ila ni kazi za mikono ya watu, ni miti na mawe tu, kwa hiyo waliweza kuiharibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kuitupa miungu yao motoni; kwa maana haikuwa miungu, bali ni kazi ya mikono ya wanadamu; ilikuwa miti na mawe tu, ndiyo sababu wakaiharibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walitupa miungu yao katika moto kwa sababu haikukuwa miungu ya kweli, lakini sanamu za miti na mawe zilizochongwa na mikono ya watu.