2 Kings 19:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hili ndilo neno la Mwenyezi-Mungu alilosema kumhusu Senakeribu: Anakudharau, anakubeza binti Siyoni, anatikisa kichwa chake nyuma yako binti Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo neno ambalo Mwenyezi Mungu amelisema dhidi yake: “ ‘Bikira Binti Sayuni anakudharau na kukudhihaki. Binti Yerusalemu anatikisa kichwa chake unapokimbia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tamko alilolitamka Bwana katika habari zake ndilo hili, Bikira, binti Sayuni, amekudharau, na kukudhihaki sana; binti Yerusalemu ametikisa kichwa chake juu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hili ndilo neno la Mwenyezi-Mungu alilosema kumhusu Senakeribu: Anakudharau, anakubeza binti Siyoni, anatikisa kichwa chake nyuma yako binti Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo neno ambalo BWANA amelisema dhidi yake: “ ‘Bikira Binti Sayuni anakudharau wewe na kukudhihaki. Binti Yerusalemu anatikisa kichwa chake unapokimbia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo neno ambalo bwana amelisema dhidi yake: “ ‘Bikira Binti Sayuni anakudharau na kukudhihaki. Binti Yerusalemu anatikisa kichwa chake unapokimbia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tamko alilolitamka BWANA katika habari zake ndilo hili, Bikira, binti Sayuni, amekudharau, na kukudhihaki sana; binti Yerusalemu ametikisa kichwa chake juu yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hili ndilo neno la Mwenyezi-Mungu alilosema kumhusu Senakeribu: Anakudharau, anakubeza binti Siyoni, anatikisa kichwa chake nyuma yako binti Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo hili ndilo neno, Bwana alilolisema kwa ajili yake: Mwanamwali binti Sioni, amekubeza na kukufyoza; binti Yerusalemu, amekutingishia kichwa nyuma yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tamko alilolitamka BWANA katika habari zake ndilo hili, Bikira, binti Sayuni, amekudharau, na kukudhihaki sana; binti Yerusalemu ametikisa kichwa chake juu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hili ndilo neno Yawe alilosema juu yake: “Watu wa Sayuni wanakuzarau kabisa, watu wa Yerusalema wanakutikisia kichwa kwa kukuchekelea.