2 Kings 19:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Najua kuketi kwako, na kuamka kwako nako kuingia kwako; nayo mipango yako dhidi yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Lakini ninajua mahali ukaapo, kutoka kwako na kuingia kwako, na jinsi unavyoghadhibika dhidi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini nakujua, kuketi kwako, na kutoka kwako, na kuingia kwako; na ghadhabu yako unayonighadhibikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Najua kuketi kwako, na kuamka kwako nako kuingia kwako; nayo mipango yako dhidi yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Lakini mimi ninajua ukaapo, kuingia kwako na kutoka kwako na jinsi unavyonighadhabikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Lakini ninajua mahali ukaapo, kutoka kwako na kuingia kwako, na jinsi unavyoghadhibika dhidi yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini nakujua, kuketi kwako, na kutoka kwako, na kuingia kwako; na ghadhabu yako unayonighadhibikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Najua kuketi kwako, na kuamka kwako nako kuingia kwako; nayo mipango yako dhidi yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninakujua kukaa kwako na kutoka kwako na kuingia kwako; ninavijua navyo, unavyovikasirikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini nakujua, kuketi kwako, na kutoka kwako, na kuingia kwako; na ghadhabu yako unayonighadhibikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, ninakujua wewe Saniharibu; ninajua wakati unaikaa, wakati unatoka, na wakati unaingia; ninajua vilevile wakati kasirani yako inawaka juu yangu.