2 Kings 19:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana kutakuwako watu watakaosalia huko Yerusalemu; naam, huko mlimani Siyoni kutakuwako watu wachache watakaosalimika; maana Mwenyezi-Mungu amedhamiria kukamilisha hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa kutoka Yerusalemu watakuja mabaki, na kutoka Mlima Sayuni kundi la walionusurika. Wivu wa Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni utatimiza jambo hili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mabaki yatatoka katika Yerusalemu, na wao watakaookoka katika mlima wa Sayuni wivu wa Bwana utatimiza jambo hilo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana kutakuwako watu watakaosalia huko Yerusalemu; naam, huko mlimani Siyoni kutakuwako watu wachache watakaosalimika; maana Mwenyezi-Mungu amedhamiria kukamilisha hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana kutoka Yerusalemu watakuja mabaki, na kutoka Mlima Sayuni kundi la walionusurika. Wivu wa BWANA Mwenye Nguvu Zote ndio utakaotimiliza hili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa kutoka Yerusalemu watakuja mabaki, na kutoka Mlima Sayuni kundi la walionusurika. Wivu wa bwana Mwenye Nguvu Zote ndio utatimiza jambo hili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mabaki yatatoka katika Yerusalemu, na wao watakaookoka katika mlima wa Sayuni wivu wa BWANA utatimiza jambo hilo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana kutakuwako watu watakaosalia huko Yerusalemu; naam, huko mlimani Siyoni kutakuwako watu wachache watakaosalimika; maana Mwenyezi-Mungu amedhamiria kukamilisha hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Yerusalemu yatatokea masao, nako mlimani kwa Sioni watatokea waliopona. Wivu wake Bwana Mwenye vikosi utayafanya hayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mabaki yatatoka katika Yerusalemu, na wao watakaookoka katika mlima wa Sayuni wivu wa BWANA utatimiza jambo hilo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana kutakuwa watu watakaobaki kule Yerusalema; kule kwenye mulima Sayuni kutakuwa watu wachache watakaobakia. Yawe wa majeshi amekusudia kukamilisha hayo.