2 Kings 19:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atarudi kwa njia ileile aliyoijia na wala hataingia katika mji huu,’ ndivyo asemavyo Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa njia ile aliyoijia, ndiyo atakayorudi; hataingia katika mji huu, asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njia ile ile aliyojia, kwa njia iyo hiyo atarudi zake, wala hataingia ndani ya mji huu, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atarudi kwa njia ileile aliyoijia na wala hataingia katika mji huu,’ ndivyo asemavyo Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa njia ile aliyojia, atarudi; hataingia katika mji huu, asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa njia ile aliyoijia, ndiyo atakayorudi; hataingia katika mji huu, asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njia ile ile aliyojia, kwa njia hiyo hiyo atarudi zake, wala hataingia ndani ya mji huu, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atarudi kwa njia ileile aliyoijia na wala hataingia katika mji huu,’ ndivyo asemavyo Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njia, aliyokuja nayo, ileile atarudi nayo. Lakini humu mjini hatamwingia; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njia ile ile aliyojia, kwa njia iyo hiyo atarudi zake, wala hataingia ndani ya mji huu, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atarudi kwa njia ileile aliyokuja nayo wala hataingia katika muji huu. –Ni ujumbe wa Yawe.–