2 Kings 19:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Senakeribu mfalme wa Ashuru aliondoka akaenda zake na kukaa Ninewi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Senakeribu mfalme wa Ashuru akavunja kambi na kuondoka. Akarudi Ninawi na kukaa huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Senakeribu mfalme wa Ashuru akaondoka, akaenda zake, akarudi akakaa Ninawi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Senakeribu mfalme wa Ashuru aliondoka akaenda zake na kukaa Ninewi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Senakeribu mfalme wa Ashuru akavunja kambi na kuondoka. Akarudi Ninawi na kukaa huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Senakeribu mfalme wa Ashuru akavunja kambi na kuondoka. Akarudi Ninawi na kukaa huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Senakeribu mfalme wa Ashuru akaondoka, akaenda zake, akarudi akakaa Ninawi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Senakeribu mfalme wa Ashuru aliondoka akaenda zake na kukaa Ninewi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Saniheribu, mfalme wa Waasuri, alipoondoka, aende zake, akarudi kwao, akakaa Niniwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Senakeribu mfalme wa Ashuru akaondoka, akaenda zake, akarudi akakaa Ninawi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Saniharibu mufalme wa Asuria akaondoka, akaenda kwake, akakaa Ninawe.