2 Kings 19:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
aliwaambia “Mwambieni bwana wenu kwamba Mwenyezi-Mungu asema hivi, ‘Usiogope kwa sababu ya maneno uliyoyasikia, ambayo watumishi wa mfalme wa Ashuru wameyasema kunikebehi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isaya akawaambia, “Mwambieni bwana wenu, ‘Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Usiogope kwa hayo uliyoyasikia, yale maneno ambayo watumishi wa mfalme wa Ashuru wamenitukana nayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Isaya akawaambia, Mwambieni bwana wenu maneno haya; Bwana asema hivi, Usiyaogope maneno hayo uliyoyasikia, ambayo watumishi wa mfalme wa Ashuru wamenitukana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
aliwaambia “Mwambieni bwana wenu kwamba Mwenyezi-Mungu asema hivi, ‘Usiogope kwa sababu ya maneno uliyoyasikia, ambayo watumishi wa mfalme wa Ashuru wameyasema kunikebehi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Isaya akawaambia, “Mwambieni bwana wenu, ‘Hivi ndivyo asemavyo BWANA: Usiogope kwa hayo uliyoyasikia, yale maneno ambayo watumishi wa mfalme wa Ashuru wamenikufuru mimi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isaya akawaambia, “Mwambieni bwana wenu, ‘Hili ndilo asemalo bwana: Usiogope kwa hayo uliyoyasikia, yale maneno ambayo watumishi wa mfalme wa Ashuru wamenitukana nayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Isaya akawaambia, Mwambieni bwana wenu maneno haya; BWANA asema hivi, Usiyaogope maneno hayo uliyoyasikia, ambayo watumishi wa mfalme wa Ashuru wamenitukana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
aliwaambia “Mwambieni bwana wenu kwamba Mwenyezi-Mungu asema hivi, ‘Usiogope kwa sababu ya maneno uliyoyasikia, ambayo watumishi wa mfalme wa Ashuru wameyasema kunikebehi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesaya akawaambia: Mwambieni bwana wenu hivi: Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Usiyaogope yale maneno, uliyoyasikia, vijana wa mfalme wa Asuri waliyonitukana nayo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Isaya akawaambia, Mwambieni bwana wenu maneno haya; BWANA asema hivi, Usiyaogope maneno hayo uliyoyasikia, ambayo watumishi wa mfalme wa Ashuru wamenitukana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
aliwaambia: “Mumwambie bwana wenu kwamba Yawe anasema hivi: ‘Usiogope kwa sababu ya maneno uliyoyasikia, ambayo watumishi wa mufalme wa Asuria wameyasema kwa kunitusi.