2 Kings 19:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama nitamfanya mfalme asikie uvumi, halafu atarudi katika nchi yake na huko nitamfanya auawe kwa upanga.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikiliza! Nitatia roho fulani ndani yake, naye atakaposikia ujumbe fulani, atarudi nchi yake mwenyewe; nami huko nitafanya auawe kwa upanga.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, nitatia roho ya hofu ndani yake, naye atasikia kivumi, na kuirudia nchi yake mwenyewe; nami nitamwangusha kwa upanga katika nchi yake mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama nitamfanya mfalme asikie uvumi, halafu atarudi katika nchi yake na huko nitamfanya auawe kwa upanga.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikia! Ninakwenda kuweka roho ndani yake ambayo wakati atakaposikia habari fulani, atarudi kwenye nchi yake mwenyewe na huko nitahakikisha ameanguka kwa upanga.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikiliza! Nitatia roho fulani ndani yake ili atakaposikia taarifa fulani, atarudi nchi yake mwenyewe, nami huko nitafanya auawe kwa upanga.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, nitatia roho ya hofu ndani yake, naye atasikia uvumi, na kuirudia nchi yake mwenyewe; nami nitamwangusha kwa upanga katika nchi yake mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama nitamfanya mfalme asikie uvumi, halafu atarudi katika nchi yake na huko nitamfanya auawe kwa upanga.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utaniona, nikimtia roho nyingine, asikie habari, kisha arudi katika nchi ya kwao, nako huko kwao nitamwangusha kwa upanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, nitatia roho ya hofu ndani yake, naye atasikia kivumi, na kuirudia nchi yake mwenyewe; nami nitamwangusha kwa upanga katika nchi yake mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikia, nitamufanya mufalme asikie uvumi, halafu atarudi katika inchi yake, na kule nitamufanya auawe kwa upanga.’ ”