2 Kings 19:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu mfalme alipopata habari kwamba Tirhaka mfalme wa Kushi anakuja kupigana naye, alituma wajumbe kwa Hezekia, akisema,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Senakeribu akapata taarifa kwamba Tirhaka Mkushi, mfalme wa Misri, alikuwa anaenda kupigana naye. Basi akatuma tena wajumbe kwa Hezekia na neno hili:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na aliposikia habari ya Tirhaka mfalme wa Kushi, ya kwamba, Tazama, ametoka ili kupigana nawe; alituma wajumbe kwa Hezekia mara ya pili, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu mfalme alipopata habari kwamba Tirhaka mfalme wa Kushi anakuja kupigana naye, alituma wajumbe kwa Hezekia, akisema,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Senakeribu alipokea taarifa kwamba Tirhaka, Mkushi mfalme wa Misri, ametoka ili kupigana dhidi yake. Basi akatuma tena wajumbe kwa Hezekia wakiwa na neno hili:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Senakeribu akapata taarifa kwamba Tirhaka, Mkushi mfalme wa Misri, alikuwa anaenda kupigana naye. Basi akatuma tena wajumbe kwa Hezekia na neno hili:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na aliposikia habari ya Tirhaka mfalme wa Kushi, ya kwamba, Tazama, ametoka ili kupigana nawe; alituma wajumbe kwa Hezekia mara ya pili, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu mfalme alipopata habari kwamba Tirhaka mfalme wa Kushi anakuja kupigana naye, alituma wajumbe kwa Hezekia, akisema,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko mfalme akasikia habari ya Tirihaka, mfalme wa Nubi, kwamba: Tazama, ametoka kukupelekea vita! Ndipo, alipotuma tena wajumbe kwake Hizikia kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na aliposikia habari ya Tirhaka mfalme wa Kushi, ya kwamba, Tazama, ametoka ili kupigana nawe; alituma wajumbe kwa Hezekia mara ya pili, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu mufalme alipata habari kwamba Tiraka mufalme wa Etiopia anakuja kupigana naye. Akatuma wajumbe kwa Hezekia, akisema: