2 Kings 2:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha wakarudi kwa Elisha aliyekuwa anawangojea huko Yeriko. Elisha akawauliza, “Je, sikuwaambieni msiende?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipomrudia Al-Yasa, aliyekuwa akingojea huko Yeriko, akawaambia, “Je, sikuwaambia msiende?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamrudia, alipokuwa anakawia Yeriko; akawaambia, Je! Mimi sikuwaambia, Msiende?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha wakarudi kwa Elisha aliyekuwa anawangojea huko Yeriko. Elisha akawauliza, “Je, sikuwaambieni msiende?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipomrudia Elisha, ambaye alikuwa akingojea huko Yeriko, akawaambia, “Je, sikuwaambia msiende?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipomrudia Al-Yasa, ambaye alikuwa akingojea huko Yeriko, akawaambia, “Je, sikuwaambia msiende?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamrudia, alipokuwa anakawia Yeriko; akawaambia, Je! Mimi sikuwaambia, Msiende?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha wakarudi kwa Elisha aliyekuwa anawangojea huko Yeriko. Elisha akawauliza, “Je, sikuwaambieni msiende?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliporudi kwake, yeye alikuwa angaliko Yeriko, akawaambia: Sikuwaambia, msiende?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamrudia, alipokuwa anakawia Yeriko; akawaambia, Je! Mimi sikuwaambia, Msiende?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wakarudi kwa Elisha aliyekuwa anawangojea kule Yeriko. Elisha akawauliza: “Sikuwaambia musiende?”