2 Kings 2:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha akawaambia, “Tieni chumvi ndani ya bakuli jipya, kisha mniletee.” Nao wakamletea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akasema, “Nileteeni bakuli mpya, mweke chumvi ndani yake.” Kwa hiyo wakamletea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Nileteeni chombo kipya, mtie chumvi ndani yake. Wakamletea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha akawaambia, “Tieni chumvi ndani ya bakuli jipya, kisha mniletee.” Nao wakamletea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasema, “Nileteeni bakuli mpya, wekeni chumvi ndani yake.” Kwa hiyo wakamletea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasema, “Nileteeni bakuli mpya, mweke chumvi ndani yake.” Kwa hiyo wakamletea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Nileteeni chombo kipya, mtie chumvi ndani yake. Wakamletea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha akawaambia, “Tieni chumvi ndani ya bakuli jipya, kisha mniletee.” Nao wakamletea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema: Nileteeni bakuli jipya, kisha tieni chumvi humo! Walipomletea,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Nileteeni chombo kipya, mtie chumvi ndani yake. Wakamletea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha akawaambia: “Mutie chumvi ndani ya bakuli jipya, kisha muniletee.” Nao wakamuletea.