2 Kings 2:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na maji hayo yamekuwa ya kufaa mpaka leo, kama alivyosema Elisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nayo yale maji yakaponywa hadi leo, sawasawa na neno la Al-Yasa alilokuwa amesema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo yale maji yakapona hata leo, sawasawa na neno la Elisha alilolinena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na maji hayo yamekuwa ya kufaa mpaka leo, kama alivyosema Elisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nayo yale maji yakaponywa mpaka leo, sawasawa na neno la Elisha alilokuwa amesema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nayo yale maji yakaponywa mpaka leo, sawasawa na neno la Al-Yasa alilokuwa amesema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo yale maji yakapona hata leo, sawasawa na neno la Elisha alilolinena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na maji hayo yamekuwa ya kufaa mpaka leo, kama alivyosema Elisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, yale maji yalipopona hata siku hii ya leo, kama Elisa alivyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo yale maji yakapona hata leo, sawasawa na neno la Elisha alilolinena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na maji hayo yakakuwa ya kufaa mpaka leo, kama vile Elisha alivyosema.