2 Kings 2:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha aliondoka Yeriko, akaenda Betheli. Alipokuwa njiani, vijana fulani walitoka mjini wakaanza kumzomea wakisema, “Nenda zako, nenda zako mzee kipara!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka huko Al-Yasa akakwea kwenda Betheli. Ikawa alipokuwa akitembea barabarani, baadhi ya vijana wakatoka mjini na kumfanyia mzaha. Wakasema, “Paa, wewe mwenye upara! Paa, wewe mwenye upara!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akakwea kutoka huko mpaka Betheli; naye alipokuwa akienda njiani, wakatoka vijana katika mji, wakamfanyizia mzaha, wakamwambia, Paa wewe mwenye upaa! Paa wewe mwenye upaa!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha aliondoka Yeriko, akaenda Betheli. Alipokuwa njiani, vijana fulani walitoka mjini wakaanza kumzomea wakisema, “Nenda zako, nenda zako mzee kipara!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka huko Elisha akakwea kwenda Betheli. Ikawa alipokuwa akitembea barabarani, baadhi ya vijana wakatoka mjini na kumfanyia mzaha. Wakisema, “Paa, wewe mwenye upaa! Paa, wewe mwenye upaa!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka huko Al-Yasa akakwea kwenda Betheli. Ikawa alipokuwa akitembea barabarani, baadhi ya vijana wakatoka mjini na kumfanyia mzaha. Wakasema, “Paa, wewe mwenye upaa! Paa, wewe mwenye upaa!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akakwea kutoka huko mpaka Betheli; naye alipokuwa akienda njiani, wakatoka vijana katika mji, wakamfanyizia mzaha, wakamwambia, Paa wewe mwenye upaa! Paa wewe mwenye upaa!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha aliondoka Yeriko, akaenda Betheli. Alipokuwa njiani, vijana fulani walitoka mjini wakaanza kumzomea wakisema, “Nenda zako, nenda zako mzee kipara!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toka huko akapanda kwenda Beteli; alipokuwa akipanda njiani, watoto wakatoka mjini, wakamfyoza wakimwambia: Panda, Chakipara! Panda, Chakipara!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akakwea kutoka huko mpaka Betheli; naye alipokuwa akienda njiani, wakatoka vijana katika mji, wakamfanyizia mzaha, wakamwambia, Paa wewe mwenye upaa! Paa wewe mwenye upaa!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha aliondoka Yeriko, akaenda Beteli. Alipokuwa katika njia, vijana wamoja walitoka katika muji, wakaanza kumuzomea wakisema: “Kwenda zako, kwenda zako muzee wa upaa!”