2 Kings 2:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha aligeuka akawatazama na kuwalaani kwa jina la Mwenyezi-Mungu. Dubu wawili majike wakatoka mwituni, wakawararua vijana arubaini na wawili miongoni mwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akageuka, akawatazama na kuwalaani kwa Jina la Mwenyezi Mungu. Kisha dubu jike wawili wakatokea mwituni na kuwararua vijana arobaini na wawili miongoni mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatazama nyuma akawaona, akawalaani kwa jina la Bwana. Wakatoka dubu wawili wa kike mwituni, wakawararua vijana arobaini na wawili miongoni mwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha aligeuka akawatazama na kuwalaani kwa jina la Mwenyezi-Mungu. Dubu wawili majike wakatoka mwituni, wakawararua vijana arubaini na wawili miongoni mwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akageuka, akawatazama na kuwalaani kwa Jina la BWANA. Kisha dubu wawili wa kike wakatokea mwituni na kuwararua vijana arobaini na wawili miongoni mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akageuka, akawatazama na kuwalaani kwa Jina la bwana. Kisha dubu wawili wa kike wakatokea mwituni na kuwararua vijana arobaini na wawili miongoni mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatazama nyuma akawaona, akawalaani kwa jina la BWANA. Wakatoka dubu wawili wa kike mwituni, wakawararua vijana arobaini na wawili miongoni mwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha aligeuka akawatazama na kuwalaani kwa jina la Mwenyezi-Mungu. Dubu wawili majike wakatoka mwituni, wakawararua vijana arubaini na wawili miongoni mwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipogeuka nyuma akawaona, akawaapiza katika Jina la Bwana. Ndipo, chui wawili walipotoka mwituni, wakararua kwao watoto 42.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatazama nyuma akawaona, akawalaani kwa jina la BWANA. Wakatoka dubu wawili wa kike mwituni, wakawararua vijana arobaini na wawili miongoni mwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha aligeuka, akawaangalia na kuwalaani kwa jina la Yawe. Dubu wawili wakatoka katika pori, wakawararua vijana makumi ine na wawili kati yao.