2 Kings 2:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha akaendelea na safari yake mpaka mlima Karmeli na kutoka huko akarudi Samaria.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye akaondoka huko, akaenda Mlima Karmeli, na kutoka huko akarudi Samaria.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatoka huko akaenda mlima wa Karmeli, na toka huko akarudi mpaka Samaria.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha akaendelea na safari yake mpaka mlima Karmeli na kutoka huko akarudi Samaria.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye akaondoka huko akaenda Mlima Karmeli, na kutoka huko akarudi Samaria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye akaondoka huko, akaenda Mlima Karmeli, na kutoka huko akarudi Samaria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatoka huko akaenda mlima wa Karmeli, na toka huko akarudi mpaka Samaria.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha akaendelea na safari yake mpaka mlima Karmeli na kutoka huko akarudi Samaria.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akatoka huko kwenda mlimani kwa Karmeli, toka huko akarudi Samaria.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatoka huko akaenda mlima wa Karmeli, na toka huko akarudi mpaka Samaria.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha akaendelea na safari yake mpaka kwenye mulima Karmeli na tokea kule akarudi Samaria.