2 Kings 2:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Manabii hamsini wakawafuata mpaka mtoni Yordani. Elia na Elisha wakasimama karibu na mto, nao manabii wakasimama mbali kidogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana hamsini wa manabii wakaenda na kusimama kwa mbali, kuelekea mahali Ilya na Al-Yasa waliposimama kando ya Mto Yordani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi watu hamsini wa wale wana wa manabii wakaenda wakasimama, kuwakabili kwa mbali; na hao wawili wakasimama karibu na Yordani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Manabii hamsini wakawafuata mpaka mtoni Yordani. Elia na Elisha wakasimama karibu na mto, nao manabii wakasimama mbali kidogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana hamsini wa manabii wakaenda na kusimama kwa mbali, kuelekea mahali ambapo Eliya na Elisha walikuwa wamesimama katika Mto Yordani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana hamsini wa manabii wakaenda na kusimama kwa mbali, kuelekea mahali ambapo Ilya na Al-Yasa walikuwa wamesimama kando ya Mto Yordani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi watu hamsini wa wale wana wa manabii wakaenda wakasimama, kuwakabili kwa mbali; na hao wawili wakasimama karibu na Yordani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Manabii hamsini wakawafuata mpaka mtoni Yordani. Elia na Elisha wakasimama karibu na mto, nao manabii wakasimama mbali kidogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu hamsini waliokuwa wanafunzi wa wafumbuaji wakaja, wakasimama mbali ng'ambo ya huku, wao wawili waliposimama Yordani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi watu hamsini wa wale wana wa manabii wakaenda wakasimama, kuwakabili kwa mbali; na hao wawili wakasimama karibu na Yordani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Manabii makumi tano wakawafuata mpaka kwenye muto Yordani. Elia na Elisha wakasimama karibu na muto, nao manabii wakasimama mbali kidogo.