2 Kings 20:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Isaya akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye Mwenyezi-Mungu akafanya kivuli kirudi hatua kumi kwenye ngazi iliyojengwa na Ahazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo nabii Isaya akamwita Mwenyezi Mungu, naye Mwenyezi Mungu akakifanya kivuli kurudi nyuma hatua kumi ambazo kilikuwa kimeshuka kwenye ngazi ya Ahazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Isaya nabii akamlilia Bwana; akakirudisha nyuma kile kivuli madaraja kumi, ambayo kilikuwa kimeshuka katika madaraja ya Ahazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Isaya akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye Mwenyezi-Mungu akafanya kivuli kirudi hatua kumi kwenye ngazi iliyojengwa na Ahazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo nabii Isaya akamwita BWANA, naye BWANA akakifanya kivuli kurudi nyuma hatua kumi ambazo kilikuwa kimeshuka kwenye ngazi ya Ahazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nabii Isaya akamwita bwana, naye bwana akakifanya kivuli kurudi nyuma hatua kumi ambazo kilikuwa kimeshuka kwenye ngazi ya Ahazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Isaya nabii akamlilia BWANA; akakirudisha nyuma kile kivuli madaraja kumi, ambayo kilikuwa kimeshuka katika madaraja ya Ahazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Isaya akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye Mwenyezi-Mungu akafanya kivuli kirudi hatua kumi kwenye ngazi iliyojengwa na Ahazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfumbuaji Yesaya akamlilia Bwana, naye akakirudisha kivuli nyuma vipande vile, kilivyokuwa kimevishuka penye saa ya jua ya Ahazi, navyo vilikuwa vipande kumi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Isaya nabii akamlilia BWANA; akakirudisha nyuma kile kivuli madaraja kumi, ambayo kilikuwa kimeshuka katika madaraja ya Ahazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Isaya akamwomba Yawe, naye Yawe akafanya kivuli kirudi hatua kumi kwenye ngazi iliyojengwa na Ahazi.