2 Kings 20:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo nabii Isaya alipomwendea mfalme Hezekia na kumwuliza, “Watu hawa wamesema nini? Na, wamekujia kutoka wapi?” Naye Hezekia akamjibu, “Wamenijia kutoka nchi ya mbali.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo nabii Isaya akaenda kwa Mfalme Hezekia na kumuuliza, “Watu hao walisema nini, na wametoka wapi?” Hezekia akamjibu, “Wametoka nchi ya mbali. Walikuja kutoka Babeli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Isaya nabii akamwendea mfalme Hezekia, akamwambia, Wasemaje watu hawa? Nao wametoka wapi kuja kwako? Hezekia akasema, Wametoka katika nchi iliyo mbali, yaani Babeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo nabii Isaya alipomwendea mfalme Hezekia na kumwuliza, “Watu hawa wamesema nini? Na, wamekujia kutoka wapi?” Naye Hezekia akamjibu, “Wamenijia kutoka nchi ya mbali.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha nabii Isaya akaenda kwa Mfalme Hezekia na kumwuliza, “Hao watu wamesema nini na wametoka wapi?” Hezekia akajibu, “Wametoka nchi ya mbali. Wametoka Babeli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nabii Isaya akaenda kwa Mfalme Hezekia na kumuuliza, “Watu hao walisema nini, na wametoka wapi?” Hezekia akamjibu, “Wametoka nchi ya mbali. Walikuja kutoka Babeli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Isaya nabii akamwendea mfalme Hezekia, akamwambia, Wasemaje watu hawa? Nao wametoka wapi kuja kwako? Hezekia akasema, Wametoka katika nchi iliyo mbali, yaani Babeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo nabii Isaya alipomwendea mfalme Hezekia na kumwuliza, “Watu hawa wamesema nini? Na, wamekujia kutoka wapi?” Naye Hezekia akamjibu, “Wamenijia kutoka nchi ya mbali.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mfumbuaji Yesaya akaja kwa mfalme Hizikia, akamwuliza: Waume hao wamesema nini? Wametoka wapi wakija kwako? Hizikia akajibu: Wametoka nchi ya mbali, wametoka Babeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Isaya nabii akamwendea mfalme Hezekia, akamwambia, Wasemaje watu hawa? Nao wametoka wapi kuja kwako? Hezekia akasema, Wametoka katika nchi iliyo mbali, yaani Babeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu nabii Isaya akamwendea mufalme Hezekia na kumwuliza: “Watu hawa wamesema nini? Na, wamekujia kutoka wapi?” Naye Hezekia akamujibu: “Wamenifikia kutoka inchi ya mbali.”