2 Kings 20:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la Mwenyezi-Mungu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la Mwenyezi Mungu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Isaya akamwambia Hezekia, Basi, lisikie neno la Bwana,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la Mwenyezi-Mungu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la BWANA:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la bwana:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Isaya akamwambia Hezekia, Basi, lisikie neno la BWANA,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Isaya akamwambia Hezekia, “Sikia neno la Mwenyezi-Mungu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yesaya alipomwambia Hizikia: Sikia neno la Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Isaya akamwambia Hezekia, Basi, lisikie neno la BWANA,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Isaya akamwambia Hezekia: “Sikia neno la Yawe: