2 Kings 20:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hezekia akageukia upande wa ukuta na kumwomba Mwenyezi-Mungu akisema,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hezekia akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba Mwenyezi Mungu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Hezekia akajigeuza, akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba Bwana akasema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hezekia akageukia upande wa ukuta na kumwomba Mwenyezi-Mungu akisema,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hezekia akaelekeza uso wake ukutani akamwomba BWANA akisema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hezekia akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba bwana:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Hezekia akajigeuza, akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba BWANA akasema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hezekia akageukia upande wa ukuta na kumwomba Mwenyezi-Mungu akisema,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akageuka na kuuelekeza uso wake ukutani, akamwomba Bwana kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Hezekia akajigeuza, akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba BWANA akasema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hezekia akageukia upande wa ukuta na kumwomba Yawe, akisema: