2 Kings 20:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hezekia alifariki, naye Manase mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hezekia akalala na baba zake. Naye Manase mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hezekia akalala na baba zake; na Manase mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hezekia alifariki, naye Manase mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hezekia akafa akazikwa pamoja na baba zake. Manase mwanawe akaingia mahali pake kuwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hezekia akafa, akazikwa pamoja na baba zake. Naye Manase mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hezekia akalala na baba zake; na Manase mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hezekia alifariki, naye Manase mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizikia alipokwenda kulala na baba zake, mwanawe Manase akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hezekia akalala na baba zake; na Manase mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hezekia akakufa, naye mwana wake Manase akatawala kwa pahali pake.