2 Kings 20:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi Isaya akasema, “Leteni andazi la tini mliweke kwenye jipu lake, ili apate kupona.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Isaya akasema, “Tengenezeni dawa ya kubandika ya tini.” Wakafanya hivyo na kuiweka kwenye jipu, naye akapona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Isaya akasema, Twaeni mkate wa tini. Wakautwaa, wakauweka juu ya jipu, naye akapona.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi Isaya akasema, “Leteni andazi la tini mliweke kwenye jipu lake, ili apate kupona.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Isaya akasema, “Tengeneza dawa ya kubandika itokanayo na tini.” Wakafanya hivyo na kuweka kwenye jipu, naye akapona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Isaya akasema, “Tengenezeni dawa ya kubandika ya tini.” Wakafanya hivyo na kuiweka kwenye jipu, naye akapona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Isaya akasema, Twaeni mkate wa tini. Wakautwaa, wakauweka juu ya jipu, naye akapona.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi Isaya akasema, “Leteni andazi la tini mliweke kwenye jipu lake, ili apate kupona.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yesaya akasema: Leteni andazi la kuyu! Wakalileta, wakalibandikia jipu lake, akapata kupona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Isaya akasema, Twaeni mkate wa tini. Wakautwaa, wakauweka juu ya jipu, naye akapona.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Isaya akasema: “Mulete mukate wa tini halafu muutwae na kuuweka kwenye jipu lake, kusudi apate kupona.”