2 Kings 20:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hezekia akamwuliza Isaya, “Ni ishara gani ambayo itanionesha kwamba kweli Mwenyezi-Mungu ataniponya na katika siku ya tatu nitaweza kwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hezekia alimuuliza Isaya, “Kutakuwa na ishara gani kwamba Mwenyezi Mungu ataniponya mimi, na kwamba nitapanda kwenda katika Hekalu la Mwenyezi Mungu siku ya tatu tangu leo?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hezekia akamwambia Isaya, Je! Kutakuwa na ishara gani ya kwamba Bwana ataniponya, nami siku ya tatu nitapanda nyumbani kwa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hezekia akamwuliza Isaya, “Ni ishara gani ambayo itanionesha kwamba kweli Mwenyezi-Mungu ataniponya na katika siku ya tatu nitaweza kwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hezekia alikuwa amemwuliza Isaya, “Kutakuwa na ishara gani kwamba BWANA ataniponya mimi na kwamba nitapanda Hekaluni mwa BWANA siku ya tatu tangu leo?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hezekia alikuwa amemuuliza Isaya, “Kutakuwa na ishara gani kwamba bwana ataniponya mimi, na kwamba nitapanda kwenda Hekalu la bwana siku ya tatu tangu leo?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hezekia akamwambia Isaya, Je! Kutakuwa na ishara gani ya kwamba BWANA ataniponya, nami siku ya tatu nitapanda nyumbani kwa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hezekia akamwuliza Isaya, “Ni ishara gani ambayo itanionesha kwamba kweli Mwenyezi-Mungu ataniponya na katika siku ya tatu nitaweza kwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Hizikia akamwambia Yesaya: Kielekezo changu ndicho nini cha kwamba: Bwana ataniponya, kesho kutwa nipande kuingia Nyumbani mwa Bwana?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hezekia akamwambia Isaya, Je! Kutakuwa na ishara gani ya kwamba BWANA ataniponya, nami siku ya tatu nitapanda nyumbani kwa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hezekia akamwuliza Isaya: “Ni kitambulisho gani ambacho kitanionyesha kwamba kweli Yawe ataniponyesha na katika siku ya tatu nitaweza kwenda kwa nyumba ya Yawe?”