2 Kings 21:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Mwenyezi-Mungu alisema kupitia kwa watumishi wake manabii,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akasema kupitia watumishi wake manabii:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akanena kwa watumishi wake manabii, akisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Mwenyezi-Mungu alisema kupitia kwa watumishi wake manabii,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akasema kupitia watumishi wake manabii:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akasema kupitia watumishi wake manabii:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akanena kwa watumishi wake manabii, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Mwenyezi-Mungu alisema kupitia kwa watumishi wake manabii,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Bwana akasema vinywani mwa watumishi wake wafumbuaji kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akanena kwa watumishi wake manabii, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yawe akasema kupitia kwa watumishi wake manabii: