2 Kings 21:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawaacha hao watu wa urithi wangu watakaosalia na kuwakabidhi kwa adui zao; watakuwa mawindo na mateka kwa adui zao wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawakataa mabaki wa urithi wangu na kuwatia mikononi mwa adui zao. Watapokonywa mali yao na kutekwa nyara na adui zao wote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitawatupa mabaki ya urithi wangu, na kuwatia mikononi mwa adui zao; nao watakuwa nyara na mateka kwa adui zao wote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawaacha hao watu wa urithi wangu watakaosalia na kuwakabidhi kwa adui zao; watakuwa mawindo na mateka kwa adui zao wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawakataa mabaki wa urithi wangu na kuwatia mikononi mwa adui zao. Watapokonywa mali zao na kutekwa nyara na adui zao wote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawakataa mabaki wa urithi wangu na kuwatia mikononi mwa adui zao. Watapokonywa mali zao na kutekwa nyara na adui zao wote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitawatupa mabaki ya urithi wangu, na kuwatia mikononi mwa adui zao; nao watakuwa nyara na mateka kwa adui zao wote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawaacha hao watu wa urithi wangu watakaosalia na kuwakabidhi kwa adui zao; watakuwa mawindo na mateka kwa adui zao wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watakaosalia kwao waliokuwa wangu nitawatupa na kuwatia mikononi mwa adui zao, wanyang'anywe mali zao na kutekwa na adui zao wote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitawatupa mabaki ya urithi wangu, na kuwatia mikononi mwa adui zao; nao watakuwa nyara na mateka kwa adui zao wote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawaacha hao watu wa urizi wangu watakaobaki na kuwaweka katika mikono ya waadui zao, watanyanganywa vitu vyao na kutekwa na waadui zao wote.