2 Kings 21:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala; alitawala miaka miwili huko Yerusalemu. Jina la mama yake ni Meshulemethi, binti Haruzi wa Yothba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na mbili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka miwili. Mamaye aliitwa Meshulemethi binti Haruzi, kutoka Yotba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala; akatawala miaka miwili huko Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Meshulemethi, binti Haruzi wa Yotba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala; alitawala miaka miwili huko Yerusalemu. Jina la mama yake ni Meshulemethi, binti Haruzi wa Yothba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amoni alikuwa na miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala, akatawala katika Yerusalemu kwa miaka miwili. Jina la mama yake aliitwa Meshulemethi binti Haruzi, alitoka Yotba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amoni alikuwa na miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka miwili. Mamaye aliitwa Meshulemethi binti Haruzi, kutoka Yotba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala; akatawala miaka miwili huko Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Meshulemethi, binti Haruzi wa Yotba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala; alitawala miaka miwili huko Yerusalemu. Jina la mama yake ni Meshulemethi, binti Haruzi wa Yothba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amoni alikuwa mwenye miaka 22 alipoupata ufalme, akawa mfalme miaka 2 mle Yerusalemu; jina la mama yake ni Mesulemeti, binti Harusi, wa Yotiba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala; akatawala miaka miwili huko Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Meshulemethi, binti Haruzi wa Yotba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amoni alikuwa na umri wa miaka makumi mbili na mbili alipoanza kutawala, akatawala miaka miwili akiwa kule Yerusalema. Jina la mama yake ni Mesulemeti binti ya Haruzi, wa muji Yotibati.