2 Kings 21:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama vile Manase baba yake alivyofanya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatenda maovu machoni mwa Mwenyezi Mungu, kama baba yake Manase alivyofanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya yaliyo maovu machoni pa Bwana, kama Manase babaye alivyofanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama vile Manase baba yake alivyofanya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatenda maovu machoni mwa BWANA, kama baba yake Manase alivyofanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatenda maovu machoni mwa bwana, kama baba yake Manase alivyofanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA, kama Manase babaye alivyofanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama vile Manase baba yake alivyofanya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana, kama baba yake Manase alivyofanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA, kama Manase babaye alivyofanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitenda maovu mbele ya Yawe, kama vile Manase baba yake alivyofanya.