2 Kings 21:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimwacha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zake, hakushika njia ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwacha Mwenyezi Mungu, Mungu wa baba zake, wala hakuenenda katika njia za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwacha Bwana, Mungu wa babaze, wala hakuiendea njia ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimwacha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zake, hakushika njia ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwacha BWANA, Mungu wa baba zake, wala hakuenenda katika njia za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwacha bwana, Mungu wa baba zake, wala hakuenenda katika njia za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwacha BWANA, Mungu wa babaze, wala hakuiendea njia ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimwacha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zake, hakushika njia ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwacha Bwana Mungu wa baba zake, hakuishika njia ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwacha BWANA, Mungu wa babaze, wala hakuiendea njia ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alimwacha Yawe, Mungu wa babu zake. Hakushika njia ya Yawe.