2 Kings 21:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amoni alizikwa kaburini katika bustani ya Uza; na Yosia mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akazikwa kwenye kaburi lake katika bustani ya Uza. Naye Yosia mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akazikwa kaburini mwake katika bustani ya Uza. Na Yosia mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amoni alizikwa kaburini katika bustani ya Uza; na Yosia mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akazikwa kwenye kaburi lake katika bustani ya Uza. Yosia mwanawe akaingia mahali pake kuwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akazikwa kwenye kaburi lake katika bustani ya Uza. Naye Yosia mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akazikwa kaburini mwake katika bustani ya Uza. Na Yosia mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amoni alizikwa kaburini katika bustani ya Uza; na Yosia mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamzika kaburini mwake katika bustani ya uza, naye mwanawe Yosia akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akazikwa kaburini mwake katika bustani ya Uza. Na Yosia mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amoni akazikwa katika kaburi katika bustani ya Uza. Yosia mwana wake akatawala kwa pahali pake.