2 Kings 21:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alijenga madhabahu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu mahali ambapo Mwenyezi-Mungu alikuwa amesema, “Jina langu litaabudiwa katika Yerusalemu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akajenga madhabahu katika Hekalu la Mwenyezi Mungu, ambamo Mwenyezi Mungu alikuwa amesema, “Katika Yerusalemu nitaliweka Jina langu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akazijenga madhabahu ndani ya nyumba ya Bwana, napo ndipo alipopanena Bwana, Katika Yerusalemu nitaliweka jina langu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alijenga madhabahu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu mahali ambapo Mwenyezi-Mungu alikuwa amesema, “Jina langu litaabudiwa katika Yerusalemu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajenga madhabahu ndani ya Hekalu la BWANA, ambalo BWANA alikuwa amesema, “Katika Yerusalemu nitaliweka Jina langu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajenga madhabahu katika Hekalu la bwana, ambamo bwana alikuwa amesema, “Katika Yerusalemu nitaliweka Jina langu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akazijenga madhabahu ndani ya nyumba ya BWANA, napo ndipo alipopanena BWANA, Katika Yerusalemu nitaliweka jina langu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alijenga madhabahu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu mahali ambapo Mwenyezi-Mungu alikuwa amesema, “Jina langu litaabudiwa katika Yerusalemu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namo Nyumbani mwa Bwana akajenga penginepengine pa kutambikia, namo humo ndimo, Bwana alimosema: Yerusalemu ndimo, Jina langu litakamokaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akazijenga madhabahu ndani ya nyumba ya BWANA, napo ndipo alipopanena BWANA, Katika Yerusalemu nitaliweka jina langu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alijenga mazabahu katika nyumba ya Yawe pahali ambapo Yawe alikuwa amesema: “Jina langu litaabudiwa katika Yerusalema.”