2 Kings 21:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika nyua mbili za nyumba ya Mwenyezi-Mungu, alijenga madhabahu ya kuabudia sayari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika nyua zote mbili za Hekalu la Mwenyezi Mungu, akajenga madhabahu kwa ajili ya jeshi lote la angani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajenga madhabahu kwa ajili ya jeshi lote la mbinguni katika behewa mbili za nyumba ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika nyua mbili za nyumba ya Mwenyezi-Mungu, alijenga madhabahu ya kuabudia sayari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika nyua zote mbili za Hekalu la BWANA, akajenga madhabahu kwa ajili ya jeshi lote la angani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika nyua zote mbili za Hekalu la bwana, akajenga madhabahu kwa ajili ya jeshi lote la angani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajenga madhabahu kwa ajili ya jeshi lote la mbinguni katika behewa mbili za nyumba ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika nyua mbili za nyumba ya Mwenyezi-Mungu, alijenga madhabahu ya kuabudia sayari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika nyua zote mbili za Nyumba ya Bwana akajenga pa kuvitambikia vikosi vya mbinguni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajenga madhabahu kwa ajili ya jeshi lote la mbinguni katika behewa mbili za nyumba ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika viwanja viwili vya nyumba ya Yawe, alijenga mazabahu ya kuabudia jeshi la mbingu.