2 Kings 21:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na iwapo Waisraeli watajali kutenda yote niliyowaamuru na kufuata Sheria zote mtumishi wangu Mose alizowapa, basi sitawaacha wafukuzwe kutoka katika nchi hii ambayo niliwapa babu zao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sitaifanya tena miguu ya Waisraeli itangetange kutoka nchi niliyowapa baba zao, ikiwa watakuwa waangalifu kufanya kila kitu nilichowaamuru, na kuishika Torati yote ambayo walipewa na Musa mtumishi wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala sitawapotosha Israeli miguu watoke katika nchi niliyowapa baba zao; wakiangalia tu na kufanya sawasawa na yote niliyowaamuru, na kwa kuishika torati yote aliyowaamuru mtumishi wangu Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na iwapo Waisraeli watajali kutenda yote niliyowaamuru na kufuata Sheria zote mtumishi wangu Mose alizowapa, basi sitawaacha wafukuzwe kutoka katika nchi hii ambayo niliwapa babu zao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sitaifanya tena miguu ya Waisraeli itangetange kutoka katika nchi niliyowapa baba zao, ikiwa watakuwa waangalifu kufanya kila kitu nilichowaamuru na kuishika Sheria yote ambayo walipewa na Mose mtumishi wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sitaifanya tena miguu ya Waisraeli itangetange kutoka nchi niliyowapa baba zao, ikiwa watakuwa waangalifu kufanya kila kitu nilichowaamuru, na kuishika Torati yote ambayo walipewa na Musa mtumishi wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala sitawapotosha Israeli miguu watoke katika nchi niliyowapa baba zao; wakiangalia tu na kufanya sawasawa na yote niliyowaamuru, na kwa kuishika torati yote aliyowaamuru mtumishi wangu Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na iwapo Waisraeli watajali kutenda yote niliyowaamuru na kufuata Sheria zote mtumishi wangu Mose alizowapa, basi sitawaacha wafukuzwe kutoka katika nchi hii ambayo niliwapa babu zao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sitaikimbiza tena miguu ya Waisiraeli katika nchi hii, niliyowapa baba zao, wakijiangalia tu na kuyafanya yote, niliyowaagiza, na kuyafuata Maonyo, mtumishi wangu Mose aliyowaagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala sitawapotosha Israeli miguu watoke katika nchi niliyowapa baba zao; wakiangalia tu na kufanya sawasawa na yote niliyowaamuru, na kwa kuishika torati yote aliyowaamuru mtumishi wangu Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na ikiwa Waisraeli watajali kutenda yote niliyowaamuru na kufuata sheria zote mutumishi wangu Musa alizowapa, basi sitawaacha wafukuzwe kutoka katika inchi hii ambayo niliwapa babu zao.”