2 Kings 22:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yosia alitenda mema na alimpendeza Mwenyezi-Mungu. Alifuata mfano wa mfalme Daudi aliyemtangulia, na kushika amri za Mwenyezi-Mungu kwa makini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akafanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu na kuenenda katika njia zote za Daudi baba yake. Hakugeuka upande wa kuume wala wa kushoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya yaliyo mema machoni pa Bwana, akaenda katika njia yote ya Daudi baba yake, wala hakugeuka upande wa kuume wala wa kushoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yosia alitenda mema na alimpendeza Mwenyezi-Mungu. Alifuata mfano wa mfalme Daudi aliyemtangulia, na kushika amri za Mwenyezi-Mungu kwa makini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA na kuenenda katika njia zote za Daudi baba yake, bila kugeuka upande wa kuume wala wa kushoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akafanya yaliyo mema machoni pa bwana na kuenenda katika njia zote za Daudi baba yake. Hakugeuka upande wa kuume wala wa kushoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, akaenda katika njia yote ya Daudi baba yake, wala hakugeuka upande wa kulia wala wa kushoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yosia alitenda mema na alimpendeza Mwenyezi-Mungu. Alifuata mfano wa mfalme Daudi aliyemtangulia, na kushika amri za Mwenyezi-Mungu kwa makini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yanyokayo machoni pake Bwana, akaendelea na kuzishika njia zote za baba yake Dawidi, hakuziacha na kujiendea, wala kuumeni, wala kushotoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, akaenda katika njia yote ya Daudi baba yake, wala hakugeuka upande wa kuume wala wa kushoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yosia alitenda kwa usawa mbele ya Yawe. Alifuata mienendo yote ya babu yake Daudi; hakuiacha hata kidogo.