2 Kings 22:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nenda kwa kuhani mkuu Hilkia umwambie ahesabu zile fedha zilizoletwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu ambazo mabawabu walizikusanya kutoka kwa watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Panda uende kwa Hilkia, kuhani mkuu, umwambie ahesabu zile fedha ambazo zimeletwa katika Hekalu la Mwenyezi Mungu, ambazo mabawabu wamekusanya kutoka kwa watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enenda kwa Hilkia, kuhani mkuu, ili aihesabu fedha yote inayoletwa nyumbani mwa Bwana, ambayo mabawabu wameipokea kwa watu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nenda kwa kuhani mkuu Hilkia umwambie ahesabu zile fedha zilizoletwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu ambazo mabawabu walizikusanya kutoka kwa watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Panda uende kwa Hilkia, kuhani mkuu, umwambie ahesabu zile fedha ambazo zimeletwa katika Hekalu la BWANA, ambazo mabawabu wamekusanya kutoka kwa watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Panda uende kwa Hilkia, kuhani mkuu, umwambie ahesabu zile fedha ambazo zimeletwa katika Hekalu la bwana, ambazo mabawabu wamekusanya kutoka kwa watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nenda kwa Hilkia, kuhani mkuu, ili aihesabu fedha yote inayoletwa nyumbani mwa BWANA, ambayo mabawabu wameipokea kwa watu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nenda kwa kuhani mkuu Hilkia umwambie ahesabu zile fedha zilizoletwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu ambazo mabawabu walizikusanya kutoka kwa watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nenda kwa mtambikaji mkuu Hilkia, azijumlishe fedha zilizoletwa Nyumbani mwa Bwana, walinzi wa vizingiti wanazozikusanya kwa watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enenda kwa Hilkia, kuhani mkuu, ili aihesabu fedha yote inayoletwa nyumbani mwa BWANA, ambayo mabawabu wameipokea kwa watu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kwenda kwa Kuhani Mukubwa Hilkia kusudi ahesabu feza zilizoletwa katika nyumba ya Yawe, ambazo walinzi wa mulango walizikusanya kutoka kwa watu;