2 Kings 22:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
yaani maseremala, wajenzi na waashi. Kiasi kingine kitumike kununua mbao na mawe yaliyochongwa kwa ajili ya kurekebisha nyumba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wale maseremala, wajenzi na waashi. Waambie pia wanunue mbao na mawe yaliyochongwa ili kukarabati Hekalu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wapewe maseremala, na wajenzi, na waashi; ili kununua miti na mawe yaliyochongwa wapate kuitengeneza nyumba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
yaani maseremala, wajenzi na waashi. Kiasi kingine kitumike kununua mbao na mawe yaliyochongwa kwa ajili ya kurekebisha nyumba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yaani mafundi seremala, wale wajenzi na mafundi waashi. Waambie pia wanunue mbao na mawe yaliyochongwa ili kukarabati Hekalu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wale maseremala, wajenzi na waashi. Waambie pia wanunue mbao na mawe yaliyochongwa ili kukarabati Hekalu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wapewe maseremala, na wajenzi, na waashi; ili kununua miti na mawe yaliyochongwa wapate kuitengeneza nyumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
yaani maseremala, wajenzi na waashi. Kiasi kingine kitumike kununua mbao na mawe yaliyochongwa kwa ajili ya kurekebisha nyumba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
maseremala na mafundi wengine na waashi, tena wazitumie za kununua miti na mawe ya kuchonga ya kuitengeneza hiyo Nyumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wapewe maseremala, na wajenzi, na waashi; ili kununua miti na mawe yaliyochongwa wapate kuitengeneza nyumba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
waseremala, wajengaji na watumishi wengine wenye kujenga, na kununua mbao na mawe yaliyochongwa kwa ajili ya kutengeneza nyumba.