2 Kings 22:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wanaosimamia ujenzi wasidaiwe kutoa hesabu ya matumizi ya fedha watakazokabidhiwa, kwa sababu wanazitumia kwa uaminifu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hawahitajiki kutoa maelezo ya fedha walizokabidhiwa, kwa sababu wanafanya kazi kwa uaminifu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hawakuulizwa habari za ile fedha waliyokabidhiwa; maana walitenda kazi kwa uaminifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wanaosimamia ujenzi wasidaiwe kutoa hesabu ya matumizi ya fedha watakazokabidhiwa, kwa sababu wanazitumia kwa uaminifu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hawahitajiki kutoa hesabu ya fedha walizokabidhiwa, kwa sababu wanafanya kwa uaminifu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hawahitajiki kutoa hesabu ya fedha walizokabidhiwa, kwa sababu wanafanya kwa uaminifu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hawakuulizwa habari za ile fedha waliyokabidhiwa; maana walitenda kazi kwa uaminifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wanaosimamia ujenzi wasidaiwe kutoa hesabu ya matumizi ya fedha watakazokabidhiwa, kwa sababu wanazitumia kwa uaminifu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wakipewa hizo fedha mikononi mwao, zisihesabiwe nao, kwani walifanya kazi zao kwa welekevu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hawakuulizwa habari za ile fedha waliyokabidhiwa; maana walitenda kazi kwa uaminifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wanaosimamia ujenzi wasiombwe kutoa hesabu ya matumizi ya feza watakazopewa, kwa sababu wanazitumia kwa uaminifu.”