2 Kings 23:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alivunja nguzo katika vipandevipande; pia alikatakata sanamu za Ashera, na mahali zilipokuwa zinasimama alipajaza mifupa ya watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yosia akapasua yale mawe ya kuabudiwa na kuzikatakata nguzo za Ashera. Kisha akafunika hayo maeneo kwa mifupa ya wanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akazivunja-vunja nguzo, akayakata-kata maashera, akapajaza mahali pake mifupa ya watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alivunja nguzo katika vipandevipande; pia alikatakata sanamu za Ashera, na mahali zilipokuwa zinasimama alipajaza mifupa ya watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yosia akapasua yale mawe ya kuabudiwa na kuzikatakata nguzo za Ashera. Kisha akafunika hayo maeneo kwa mifupa ya wanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yosia akapasua yale mawe ya kuabudiwa na kuzikatakata nguzo za Ashera. Kisha akafunika hayo maeneo kwa mifupa ya wanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akazivunjavunja nguzo, akayakatakata maashera, akapajaza mahali pake mifupa ya watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alivunja nguzo katika vipandevipande; pia alikatakata sanamu za Ashera, na mahali zilipokuwa zinasimama alipajaza mifupa ya watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akazivunja nazo nguzo za mawe za kutambikia, nayo miti ya Ashera akaikatakata, kisha akapajaza mahali pao mifupa ya watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akazivunja-vunja nguzo, akayakata-kata maashera, akapajaza mahali pake mifupa ya watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alivunja nguzo vipandevipande; vilevile alikatakata sanamu za Ashera, na pahali zilipokuwa zinasimama akapajaza mifupa ya watu.