2 Kings 23:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha mfalme aliwaamuru watu wote, akisema, “Mfanyieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, Pasaka, kama ilivyoandikwa katika kitabu hiki cha agano.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme akatoa agizo hili kwa watu wote: “Adhimisheni Pasaka kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu hiki cha Agano.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye mfalme akawaamuru watu wote, akasema, Mfanyieni Bwana, Mungu wenu, pasaka, kama ilivyoandikwa katika kitabu hiki cha agano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha mfalme aliwaamuru watu wote, akisema, “Mfanyieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, Pasaka, kama ilivyoandikwa katika kitabu hiki cha agano.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme akatoa agizo hili kwa watu wote: “Adhimisheni Pasaka kwa BWANA Mungu wenu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu hiki cha Agano.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme akatoa agizo hili kwa watu wote: “Adhimisheni Pasaka kwa bwana Mwenyezi Mungu wenu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu hiki cha Agano.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mfalme akawaamuru watu wote, akasema, Mfanyieni BWANA, Mungu wenu, Pasaka, kama ilivyoandikwa katika kitabu hiki cha agano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha mfalme aliwaamuru watu wote, akisema, “Mfanyieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, Pasaka, kama ilivyoandikwa katika kitabu hiki cha agano.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mfalme akawaagiza watu wote kwamba: Fanyeni sikukuu ya Pasaka ya Bwana, kama ilivyoandikwa katika kitabu hiki cha Agano!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye mfalme akawaamuru watu wote, akasema, Mfanyieni BWANA, Mungu wenu, pasaka, kama ilivyoandikwa katika kitabu hiki cha agano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha mufalme akawaamuru watu wote, akisema: “Mumufanyie Yawe, Mungu wenu, Pasaka, kama ilivyoandikwa katika kitabu hiki cha agano.”