2 Kings 23:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo, Mwenyezi-Mungu hakuacha ukali wa ghadhabu yake nyingi, kwa sababu hasira yake iliwaka dhidi ya Yuda kwa ajili ya vitendo vya kukasirisha, ambavyo Manase alifanya dhidi yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, Mwenyezi Mungu hakuacha ghadhabu yake iliyowaka dhidi ya Yuda kwa sababu ya yale yote ambayo Manase alikuwa amefanya kumghadhibisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini Bwana hakuuacha ukali wa ghadhabu yake nyingi, ambayo kwayo hasira yake iliwaka juu ya Yuda, kwa sababu ya machukizo yote ambayo Manase amemchukiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo, Mwenyezi-Mungu hakuacha ukali wa ghadhabu yake nyingi, kwa sababu hasira yake iliwaka dhidi ya Yuda kwa ajili ya vitendo vya kukasirisha, ambavyo Manase alifanya dhidi yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, BWANA hakuacha ghadhabu yake iliyowaka dhidi ya Yuda kwa sababu ya yale yote ambayo Manase alikuwa amefanya ili kumghadhibisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, bwana hakuacha ghadhabu yake iliyowaka dhidi ya Yuda kwa sababu ya yale yote ambayo Manase alikuwa amefanya kumghadhibisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini BWANA hakuuacha ukali wa ghadhabu yake nyingi, ambayo kwayo hasira yake iliwaka juu ya Yuda, kwa sababu ya machukizo yote ambayo Manase amemchukiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo, Mwenyezi-Mungu hakuacha ukali wa ghadhabu yake nyingi, kwa sababu hasira yake iliwaka dhidi ya Yuda kwa ajili ya vitendo vya kukasirisha, ambavyo Manase alifanya dhidi yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Bwana hakuyaacha makali yake makuu yenye moto yaliyowawakia Wayuda kwa ajili ya matendo ya kumkasirisha, manase aliyomkasirisha nayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini BWANA hakuuacha ukali wa ghadhabu yake nyingi, ambayo kwayo hasira yake iliwaka juu ya Yuda, kwa sababu ya machukizo yote ambayo Manase amemchukiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo, Yawe hakuacha ukali wa kasirani yake nyingi, kwa sababu hasira yake iliwaka juu ya Yuda kwa ajili ya vitendo vya kukasirikisha, ambavyo Manase alifanya juu yake.