2 Kings 23:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala, akatawala kwa miezi mitatu huko Yerusalemu. Mama yake alikuwa Hamutali binti Yeremia wa Libna.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miezi mitatu. Mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia kutoka Libna.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala; akatawala miezi mitatu katika Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Hamutali binti Yeremia wa Libna.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala, akatawala kwa miezi mitatu huko Yerusalemu. Mama yake alikuwa Hamutali binti Yeremia wa Libna.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala, akatawala katika Yerusalemu kwa miezi mitatu. Jina la mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia kutoka Libna.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miezi mitatu. Jina la mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia kutoka Libna.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala; akatawala miezi mitatu katika Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Hamutali binti Yeremia wa Libna.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala, akatawala kwa miezi mitatu huko Yerusalemu. Mama yake alikuwa Hamutali binti Yeremia wa Libna.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoahazi alikuwa mwenye miaka 23 alipoupata ufalme, akawa mfalme miezi 3 mle Yerusalemu; jina la mama yake ni Hamutali, binti Yeremia, wa Libuna.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala; akatawala miezi mitatu katika Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Hamutali binti Yeremia wa Libna.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoahazi alikuwa na umri wa miaka makumi mbili na tatu alipoanza kutawala, akatawala kwa miezi mitatu akiwa kule Yerusalema. Mama yake aliitwa Hamutali, binti ya Yeremia wa muji wa Libuna.