2 Kings 23:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehoahazi alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama babu zake walivyofanya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akafanya maovu machoni mwa Mwenyezi Mungu, kama baba zake walivyofanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya yaliyo mabaya machoni pa Bwana, sawasawa na yote waliyoyafanya baba zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehoahazi alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama babu zake walivyofanya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akafanya maovu machoni mwa BWANA, kama baba zake walivyofanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akafanya maovu machoni mwa bwana, kama baba zake walivyofanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, sawasawa na yote waliyoyafanya baba zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehoahazi alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama babu zake walivyofanya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana kama yote, baba zake waliyoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, sawasawa na yote waliyoyafanya baba zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoahazi alitenda maovu mbele ya Yawe kama yote babu zake waliyofanya.