2 Kings 23:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Farao Neko akamtawaza Eliakimu mwana wa mfalme Yosia mahali pa baba yake Yosia, akabadilisha jina lake kuwa Yehoyakimu. Lakini alimchukua Yehoahazi mbali mpaka Misri na kufia huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Farao Neko akamfanya Eliakimu mwana wa Yosia kuwa mfalme mahali pa baba yake Yosia, na kulibadilisha jina la Eliakimu kuwa Yehoyakimu. Lakini akamchukua Yehoahazi na kumpeleka Misri, naye akafia huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farao-neko akamfanya Eliakimu mwana wa Yosia awe mfalme mahali pa Yosia babaye, akambadilisha jina lake kuwa Yehoyakimu, lakini akamwondoa Yehoahazi; akaenda naye Misri, naye akafa huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Farao Neko akamtawaza Eliakimu mwana wa mfalme Yosia mahali pa baba yake Yosia, akabadilisha jina lake kuwa Yehoyakimu. Lakini alimchukua Yehoahazi mbali mpaka Misri na kufia huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Farao Neko akamfanya Eliyakimu mwana wa Yosia kuwa mfalme mahali pa baba yake Yosia, na kulibadilisha jina la Eliyakimu kuwa Yehoiakimu. Lakini akamchukua Yehoahazi na kumpeleka Misri, naye akafia huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Farao Neko akamfanya Eliakimu mwana wa Yosia kuwa mfalme mahali pa baba yake Yosia, na kulibadilisha jina la Eliakimu kuwa Yehoyakimu. Lakini akamchukua Yehoahazi na kumpeleka Misri, naye akafia huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farao Neko akamfanya Eliakimu mwana wa Yosia awe mfalme mahali pa Yosia babaye, akambadilisha jina lake kuwa Yehoyakimu, lakini akamwondoa Yehoahazi; akaenda naye Misri, naye akafa huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Farao Neko akamtawaza Eliakimu mwana wa mfalme Yosia mahali pa baba yake Yosia, akabadilisha jina lake kuwa Yehoyakimu. Lakini alimchukua Yehoahazi mbali mpaka Misri na kufia huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Farao Neko akamfanya Eliakimu, mwana wa Yosia, kuwa mfalme mahali pa baba yake Yosia, akaligeuza jina lake, akamwita Yoyakimu. Lakini Yoahazi akamchukua, aje naye Misri; ndiko, alikokufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farao-neko akamfanya Eliakimu mwana wa Yosia awe mfalme mahali pa Yosia babaye, akambadilisha jina lake kuwa Yehoyakimu, lakini akamwondoa Yehoahazi; akaenda naye Misri, naye akafa huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Neko mufalme wa Misri akamuweka Eliakimu mwana wa mufalme Yosia kwa pahali pa baba yake Yosia, akabadilisha jina lake kuwa Yoyakimu. Lakini alimupeleka Yoahazi mbali. Naye akafika Misri na kukufia kule.