2 Kings 23:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehoyakimu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama waliyoyafanya babu zake wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye akafanya maovu machoni mwa Mwenyezi Mungu, kama baba zake walivyokuwa wamefanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya yaliyo mabaya machoni pa Bwana, sawasawa na yote waliyoyafanya baba zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehoyakimu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama waliyoyafanya babu zake wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye akafanya maovu machoni mwa BWANA, kama baba zake walivyokuwa wamefanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye akafanya maovu machoni mwa bwana, kama baba zake walivyokuwa wamefanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, sawasawa na yote waliyoyafanya baba zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehoyakimu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama waliyoyafanya babu zake wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana kama yote, baba zake waliyoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, sawasawa na yote waliyoyafanya baba zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoyakimu alitenda maovu mbele ya Yawe, kama vile yote babu zake waliyofanya.