2 Kings 23:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alibomoa nyumba za mahanithi zilizokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, mahali ambamo wanawake walifuma mapazia ya Ashera.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akabomoa pia nyumba za mahanithi wa mahali pa ibada, zilizokuwa ndani ya Hekalu la Mwenyezi Mungu, nyumba ambazo wanawake walifumia pazia kwa ajili ya Ashera.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaziangusha nyumba za mahanithi, waliokuwamo nyumbani mwa Bwana, wanawake walipofuma mapazia ya Ashera.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alibomoa nyumba za mahanithi zilizokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, mahali ambamo wanawake walifuma mapazia ya Ashera.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akabomoa pia nyumba za mahanithi wa mahali pa ibada za miungu, zilizokuwa ndani ya Hekalu la BWANA na mahali wanawake walipofuma kwa ajili ya Ashera.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akabomoa pia nyumba za mahanithi wa mahali pa ibada za miungu, zilizokuwa ndani ya Hekalu la bwana na mahali wanawake walipofuma kwa ajili ya Ashera.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaziangusha nyumba za mahanithi, waliokuwamo nyumbani mwa BWANA, wanawake walipofuma mapazia ya Ashera.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alibomoa nyumba za mahanithi zilizokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, mahali ambamo wanawake walifuma mapazia ya Ashera.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo vyumba vya wagoni wa Patakatifu vilivyokuwamo Nyumbani mwa Bwana akavibomoa; ndimo, wanawake walimofuma mahema ya Ashera.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaziangusha nyumba za mahanithi, waliokuwamo nyumbani mwa BWANA, wanawake walipofuma mapazia ya Ashera.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alibomoa nyumba za makahaba zilizokuwa katika nyumba ya Yawe, pahali wanawake walifuma mapazia ya Ashera.