2 Kings 24:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nebukadneza mfalme wa Babuloni aliishambulia Yuda. Yehoyakimu, alimtumikia kwa miaka mitatu halafu aliacha kumtii, akamwasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wa utawala wa Yehoyakimu, Nebukadneza mfalme wa Babeli aliishambulia nchi, naye Yehoyakimu akawa mtumwa wake kwa miaka mitatu. Lakini hatimaye akabadili mawazo yake na kuasi dhidi ya Nebukadneza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika siku zake akakwea Nebukadreza,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nebukadneza mfalme wa Babuloni aliishambulia Yuda. Yehoyakimu, alimtumikia kwa miaka mitatu halafu aliacha kumtii, akamwasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wa utawala wa Yehoiakimu, Nebukadneza mfalme wa Babeli aliishambulia nchi, naye Yehoiakimu akawa mtumwa wake kwa miaka mitatu. Lakini hatimaye akabadili mawazo yake na kuasi dhidi ya Nebukadneza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wa utawala wa Yehoyakimu, Nebukadneza mfalme wa Babeli aliishambulia nchi, naye Yehoyakimu akawa mtumwa wake kwa miaka mitatu. Lakini hatimaye akabadili mawazo yake na kuasi dhidi ya Nebukadneza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika siku zake akakwea Nebukadneza, mfalme wa Babeli, na Yehoyakimu akawa mtumishi wake muda wa miaka mitatu; kisha, akageuka, akamwasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nebukadneza mfalme wa Babuloni aliishambulia Yuda. Yehoyakimu, alimtumikia kwa miaka mitatu halafu aliacha kumtii, akamwasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizo siku zake Nebukadinesari, mfalme wa Babeli, akapanda huko; ndipo, Yoyakimu alipomtumikia miaka 3, kisha akamkataa tena akiacha kumtii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika siku zake akakwea Nebukadreza, mfalme wa Babeli, na Yehoyakimu akawa mtumishi wake muda wa miaka mitatu; kisha, akageuka, akamwasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nebukadneza mufalme wa Babeli akaishambulia inchi ya Yuda. Yoyakimu akamutumikia kwa miaka mitatu halafu akaacha kumutii, akamwasi.